
Light's24 Ways is the name of our bizna and The Confident Africa is a publication Kama newsletter we are producing to speak to wazee was MESH na wengine ideas and info we learn of.
Kuna bizna kwa content creation. Content ni any form ya videoshow ama maandishi ya kufurahisha wazee.
I'm looking for people interested in creating content as sidekick ama fun job tujenge nao bizna ya nguvu ya uuzaji wa bidhaa tuki target soko ya dunia.
Kuna wazee waeza penda? Tangazeni hiyo na Kama wako, email ni calebseda@gmail.com. na ataje MESHers hapo kwenye subject.
0
0
0