Like mimi ni plumber but sijaanza hustle yangu ya plumber sai mimi hupika chipo na smokies but haijashika ile poa like naeza maliza a day bila kuuza naeza funga biz nianze upya kua plumber ama aje