
LIKEABILITY KWA BIZ
Tukichapa biz, tunafanyaga through relationship. Sisi uchagua yule supplier tuta buy from na clients wanachagua kama wata back kwa biz yako au la. Kukuwa na skill ya kuunda real #connection and pia kufanya msee aku#LIKE ni big part ya success ama failure ya biz. Mimi niko na few tips za kuwa likeable zenye nime observe from wasee ama pia kusikia feedback from trusted client.
- Kuwa m real na client *Kuwaga very responsive both kwa verbal ama kwa texts/email/social media messaging.
- Kuwa na personality na reputation fiti, mwanzo trustworthy. Weka contribution for more hapa kwa comment section ili #Tujijenge

0
0
0