
#LindaFam #LindaCommunity #LindaFan
Throughout hii Rona period nime try my hands on several hustle. Nime learn skills kadhaa and ways za kucut production cost. And moja yenye nime explore, thanks to DJ B program ya #LindaFam, ni carpentry.
Nimekaa and kutengeza networks na wasee wako kwa hii field from Voi, Emali and now hapa Kasa. And every encounter na learn something or two on hii hustle. Yes, kidole ngumba kimefrishwa na nyundo :), but can't compare the skills and network nime build hii time. Soon @JoramKioko ntaaza kumpea compe :)
#Shukrani saana DJ kwa hizi opportunity za kumake bakes but most important za ku learn new skills.
0
0
0