
Linking WhatsApp Business na post zako za mesh inaeza kusaidia kupata new clients kwa haraka and pia unapata option ya kushare a lot of products in one post. WhatsApp Business is designed specifically for small and medium-sized, juu ina improve communication, unaeza automate responses, ina reach a wider audience, unaeza pin location ya biz but most important feature ni kushowcase products and services zako zoote kwa catalogue making it ease client kuchoose ile products ama services ana need from you. Nimeona few mesher wameshare post iko na whatsapp business link which is commendable.

0
0
0