
Lipa rent ya single room yako ya 5k, Ukiwa pekee yako food for a month averagely eka 4k max, Mahali unaekaga emergency funds ongeza 2k, Bills za stima whatsoever eka 1k, Tumia mzazi ushago 1k atleast Boost biz yako/Investment bucket na remainder of 2k.
0
0
0