Lipia Smartphone pole pole Shortlist All of Kenya
Una-need Smartphone ya kufanya biz na huwezi afford kulipia in full at once? Great news, MESH wame-partner na Shortlist kupatia MESHERS wetu chance yaku-get good quality and affordable smartphones. Lipia pole pole.
Inawork aje?
- Cheki Smartphone zenye ziko kwa hii catalogue https://bit.ly/s-gadget alafu uchague ile itakubamba.
- Apply na uwekwe kwa shortlist ya kuget hiyo device.
- Wekelea downpayment ya minimum of 15%.
- Smartphone yako itakuwa delivered in 3 days.
- Anza repayment zako za monthly over 12 months.
Example: Uki-pick smartphone ya 10k na uchague kulipia in 12 months: Uta-make downpayment ya 1,500 Kes kwanza, then utakua unalipa around 708 Kes every month, for the next 12 months (8,500/12). Who we are looking for Unadepend on smartphone kurun biz yako? Whether unafanya biz online ama kwa IG ama unaneed kutumia Whatsapp kubonga na customers wako ama unaneed Smartphone camera deadly ya kuchukua picha za products. Smartphone poa ni important sana kwa entrepreneu... Downloads No downloads available FAQs
Terms & conditions