LOAN GUARANTORS:
Watu hupenda kupokea pesa na hupata ugumu wakati wa kulipa. It's human nature.
So , kwa sacco if sb wants you to sign for him as a guarantor, utafanya aje?
The Word of God urges us to exercise caution before guarantee-ing sb or beong a surety for someone's loan 💰.
Akikosa kulipa, bank au sacco watakufuata au wachukue shares/ savings zako worth hiyo loan.
Kwanza mabeshte na familia ndio wabaya, ppl are self-centered and selfish. Trust no one hii 254. Exercise wisdom.
0
0
0