š° Loan inaweza kufanya balance sheet yako ionekane better...
...while quietly making biashara yako weaker. š
Ukipata loan ya KSh 1M:
Cash ā KSh 1M
Debt ā KSh 1M
So haujatengeneza wealth.
Umetengeneza time.
Na hiyo time inafaa itumike kujenga kitu italeta cash ya kulipa hiyo loan.
Shida huanza expansion ikichelewa.
Customers wanachelewa kulipa.
Interest inaendelea.
Loan repayment inafika. š¬
Hapo ile cash ilionekana kama lifeline inaanza kuwa anchor.
Before uchukue loan, jiulize:
š Pesa itaenda wapi?
š Itaanza kuleta cash lini?
š What if cash ikichelewa kuingia?
Debt si mbaya.
Lakini borrowed cash sitting idle si growth.
Ni obligation yenye deadline. šÆ
0
0
0