Loan inawezakua beneficial kwako,
Kama uko na purpose na reason fiti ya kutumia hizo chapaa.
👇Cheki vitu unafaa ku-consider before taking a loan.