
π LOANS & INVESTMENTS π°
Kuelewa risks na vile unahandle dooh za biz ukuwa vital sanaπ― so ni poa kukuwa na mitigation strategies za vile unaeza reduce risks na pia kuimprove rewards kwa investment portfolio yako π₯πͺ:
π‘ know your risk tolerance -jua risk biz yako inaeza handle , financial goals na personal comfort kama owner wa iyo biz,
π‘ Diversification - invest kwa biz kadhaa , hii itakusaindia kureduce losses na pia u_maximize returns kwa hizo investment,
π‘Due diligence - piga research poa, kama ni loan unadai kuchukua jua reputation na credibility ya uyo msee ama institution unadai kuchukua loan kwao,
π‘ Financial analysis - fanya analysis poa ya biz yako , profit na loss unamake na cash flow ya biz in general ndio ujue vile utaeza kufinance hizo loans ama investment unamake πͺ
π€ #Financial literacy πΈ