
Loans ni poa sana for growth kwa biz kama umejipanga, but debt in stressful and saa ingine inaeza kufunga ukuwa hauwezi take risk zenye ziko na potential ya kukuinua. Step za kujitoa kwa debt ni kaa' gani? ✅ Consolidate like loans zako zote, kuna banks ununua other loans especially kama uko naa more than one ndio ujue uko na only one ya kulipa. ✅ Achana na ku force lifestyle hadi zile expensive hobbies hizo wewe ondokea kabisa. Nakama ni lazima hobbies, tafuta zile free entrainment, like nature walks, free events, ka movie kwa keja. ✅ Unda budget na u stick nayo kabisa ✅ Anzisha ka side gig hivi. Usitegemee works moja, ✅ Then sasa achana na ile life ya kuji compare na wasee wengine.
Kama uko na more share hapa chini ndio #Tujijenge.

0
0
0