
Loans za kujenga biz mostly hupatikana mayut wakijileta pamoja na kuform group.The leadership of the group huchangia sana kuendelea kwa members.Teamwork na kujituma ni muhimu.Hizi loans mkishajiunga mnafika ofisi ya mayouth mtaa yenu na mnaulizia kuhusu hizi loans.Mkilipa,loan amount huongezewa mfano mkipewa 100k the first loan amount mkijijenga kibiz na mlipe ile loan mnapewa like 200k,next 350k,next 500k.Hii ni mfano tu but mkishalipa first loan,next loan huwa doo mob kuliko ile loan ya mbele.Hope I makes sense.Kuna group flani ya Umoja nilionyeshwa na fundi flani aliyewajengea maflats na sahii Kuna tenants na landlords ni members wa hio group.Before tufike kwa hizo flats yout mmoja,niliskia amemuita kwa umbali fundiii ndio akanichapia kuwa yeye ndio alijenga hizo flats.Try fikeni ofisi za mayouth mtaa yenu sana sana huwa katika sub-county office.