Look where procrastination imenifikisha.
"Ntaanza ku save next month...."
Tuko na 2 months zimebaki saa hizi, kwa zile goals ulichora hii mwaka ikianza, in percentage form, umefikisha wapi saa hizi?