Lucas Mweu ameiba content nilikuwa napika pale Brian's Health Corner ๐๐๐,,,,
#Avocado ๐ฅ๐ฅ ni food moja very helpful kwa mwili๐ฏ 1.ukitaka sacculent skin kula ๐ฅ 2.Kwa wale wasee husema dandruff zimawasumbua,,kunywa maji mob na weka ๐ฅ kwa diet yako 3.Mbegu ya ๐ฅ ni dawa ya meno inauma na pia inachibuka,,#using'oe meno. 4.Shida ya meno kutoa damu wakati unasugua๐ gaggle maji ya mbegu ya ๐ฅ
am back to the kitchen kutayarisha a different article,for more benefits za Avocado pitia pale kwa post Lucas Mweu upate more๐ช๐พ๐ช๐พ
0
0
0