
Luxury, ambiance, na vibes safi ā niliicapture yote kwa Buraha Zenoni! Kwa ma-photographers, piga kazi bila kuogopa. Gear si everything, ni venye unaona na lens yako. Hustle yako ni valid!
šø Shot by Santana Rodrigues š Buraha Zenoni, Nakuru
#PigaKazi #HotelPhotography #BurahaZenoni #SantanaRodrigues #NakuruPhotography



0
0
0