M nadai kuanzisha biz ya kuuza na kufuga kuku...anyone with experience anaeza share out niget experience ju tayari nmeshanunua vifanga kama sita