Ma admin wa Mesh wanafaa waanze kutulinda kutokana na hawa scams wameanza kujazana hapa kwa hii platform. Guys, these people coming here with "Earn at the comfort of your Home", Mara ooh sijui "You need only a phone to be rich" are not legit businesses. Stay sharp, stay taliban, stay alert. Usiseme hukuambiwa.
0
0
0