Ma youths saii tunafaa kujitegemea azin tunafaa kuanzisha ma biz na kukua self employed.kama Mimi nimejiemploy kivyangu kwa kupata mapato kwa kinyozi although ni kidogo