
⏩ Maan! #Throwback moto 🔥🔥 Skia wise words kutoka Mentor wetu @[Mca Tricky] 👉🏾 Enyewe hapa Kenya tume-finywa sana kama ma-vijana, hakuna #Opportunities, taxes ndio hizo! #Cartels wanakula doh left, right, center! 😤 Lakini hapa MESH, we don't complain! We look for solutions 🙌🏿. Tuko na brains na #Skills za kutuboa na ku-make it! We don't take no for an answer! Ni sisi ndio tuko 💪🏿.
Tukianza siku, kumbuka, you can do it! 💯 Work hard, work smart! Grow skills zako and never give up! Tuendelee kujengana!
#SisiNiMESH #ThursdayMotivation

0
0
0