
Mabeshte wako ata hawaezi share link za your music ju wanadhani its not that good, negative critics all through, being an artist is hard! parents and guardians sometimes think it's a waste of time because 'Una shinda ume chora chora na haileti pesa. Enda u tafute kazi kama vijana wenzako.' But hizi kazi ni gani na ziko wapi? And for some, that's the only craft they know, the one thing they are good at. We pleading for help jameni....

0
0
0