
Madam CEO, uko aje?๐ฐ๐ฅ
Kuwa single na kukimbiza biashara si mchezo! Unajipanga solo, unahustle, na bado unajikumbusha "Lazima ichape!" ๐ฎโ๐จ Lakini si ukweli tuambianeโhii life inakuanga na stress.
โก๏ธ Ushawahi feel pressure ya kufanya kila kitu solo? โก๏ธ Business stress imekupiga mbaya hadi unataka kuquit? โก๏ธ Ama kuna siku umejisikia lonely juu hakuna mtu wa kushare nayo highs na lows za biashara?
Buda, mental health ni muhimu kama pesa. Uwezi run biashara ikiwa akili iko mbaya. Unado aje kushikilia akili yako safi huku unakam biz? Tuambiane kwa comments! ๐ฃ๏ธ๐๐พ
#HustleNaMentalHealth #MadamCEO #MaliSafii

0
0
0