Madem creatives, mnapatanga challenges kaa gani kwa hii industry? Kuna bias, underpayment, ama clients wanaona talent yenu kama hobby?