
Madeni ni mbaya sana.
Hii ni kitu nimelearn in that# little period I've been doing business. Kwanza unakopesha mtu anaanza kukuzungusha ati oohh kesho, kesho kutwa, alafu the worst mistake ni ukue ulipea watu wengi madeni plus wote hakuna mtu willing kulipa na hadi wamepotea and not receiving your calls.
. Time unataka kurestock shop hauna doh buana zote ziko nje kwa madeni. Hakuna cashflow kwa biz.
Tell me you guys how you handle hawa watu hutaka kukopeshwa wakikam kwa shop yako and jow to know mtu haezi kosa kulipa...
#tujijenge

0
0
0