Mahindi Choma Biz iko na pesa mzuri sana my people, requires less capital and small space to run the biz, Bora Tu ukue na constant supply ya mahindi then you're good to go. Ijaribu leo