
Majama imekuwa noma hapa njee kwa wasee wengi sana, ma biz zinatingwa mob sana,wasee wanarudi mtaani, we have families that we provide for,some people mpaka extended families 👪, buda lazima tujitume, ile janta unawai piga na heart yako yote, then pia kwa everything unafanya tukuwe watu creative...for example kama uko na msee wa mpesa kando yako na uko maybe shop, mchape spaces...tushukishe kuspend kwa rent. Saizi tembeza ata mayai. Fuga kuku ya mayai kienyeji, kwanza hiyo ni 30 bob na wasee wanaanza kuipenda juu ni true... Ingia soko wai zile ma 3rd camera na 50 bob...tembeza ata na 80 bob. Chukuwa bra camera, weka kwa bag tembezea hao wamama, ma pants peleka, watawai....at the end of the day ni bills utajipata unalipa, toka comfort zone yako.