
Majama kuna biz moja legit. Eggs kreti moja ni 600 hapa kwa mako, ukiweza fuga pure kienyeju kuku kama 30 of which aitachukuwa space bigi, alafu uzipatie chakula fiti,kuna high chances unaweza wai mayai 20 in a day. Fuga kuku wewe pesa iko hapa njee inakutegea tu ♥❤
0
0
0