Majamaa apart from coaching kids football, bado pia mm hu coach street boys football na kushare nao word of God na food. So kama uko na manguo, viatu na chakula kindly nipigie nikamie tushare na wao.