
Majamaa kuna hii mradi ya Ndoto Zetu kutoka Safaricom foundation unaeza apply na uweze kusaidia organization iko mtaa yenu ama group ile mko nayo mtaa. Mi niliapply last year na ilikam through so kama uko interested apply deadline ni June 20 unaeza kuwa mmoja wale watasaidika unaeza fika YouTube ama fb ucheki vitu wamefanyia majamaa wengi
0
0
0