Majamaa na mafollowers , poleni nimepotea kidogo , ni tu shughuli tu za shule, lkn sasa tumerudi na stock ni mpya na kali kuliko pilipili 🔥