
Majamaa,
Niko na coins kama hizi kadhaa...ziliachwa kama inheritance. Hizi ndizo sumuni na ndururu za kitambo(some from 1966 hukooo). Old Kenyan/EA coins 🪙🪙🪙.
Swali ni how do I get a buyer willing to give me a good price? Juu hizi ni collectors' items. Natafuta an antique collector 👛 mwenye anaeza nunua.
Any leads maze???????

0
0
0