Majamaa niko na idea fulani ivi,,,niko na baiskeli so nilikua nataka niweke career alafu ninunue vitunguu kama 20kgs ivi alafu nianze kutembeza remote areas boma kwa boma,,,iyo idea ikoje wadau