
MALI QUALITY NA MALI FAKE.
Retail ni game ya kuaminika. Customer akikuliza kama product ni original, usimwambie “ni kama” DONT HESITATE..
kama ni mtumba sema ..kama ni kamera sema ,kama ni new sema pia....Weka quality juu, hata kama ni second-hand, sema ukweli. Mteja akikuamini, atarudi na ataleta wengine. customer trust matters alot
0
0
0