Mambo,hope mko poa..Mimi nataka kuwambia youth wenye Hamna job ngangana ata ufanye kazi ya kujiandika,uza mayai boilo,uzaa mtumba,fua manguo ama ufungue kiosk ya mama mboga bora ujisupport na family yako.Life ni hard tusijiingize kwa crime hapa mtaani...all the best to you all
0
0
0