Mambo huku, I received an sms from Tawi kuwa nmeshinda 500. Na sijaona wakituma🤔. Huwa inatake how long ndo watume??