
Mambo vipi meshers,,All new members feel at home tudidi kujengana na ideas na pia opportunity za kugrow kwa hii Art industry,,Hapa tutajinga na tips,Auditions na pia on how to monetize our talent,,tuzidi pamoja,, Join Performance Artists Group!
Unatafuta space unaweza showcase, connect na ku-share your ideas na experience na fellow artists?
Join Performance artists group, Hapa wasee hujijenga kiusanaa na opportunities pia vile wanaeza saka pesa.
Host ni Fredrick Manyasi.
Click the link ku-join: https://mesh.life/app/group...

0
0
0