
Mambo vipi meshers,,, As a perfoming artists inafaa ukue kwa saccos na organisations zenye zinaprotect the rights of creatives,,, zinahelp kupatiana morr gigs na auditions for artists,, We kama msanii uko so far kwa groups ngapi??? Have you ever heard of any before na ukatakata kujoin??ebu tuchanuane 😊😊💥
0
0
0