
Mambo vipi meshers,,,As an artist inafaa pia unakua na side hustles zenye unafanya kujisustain in this life,,ebu tuchapiane ni side hustles gani kama msanii unaeza fanya???🤔🤔😊Not everytime utakua na gigs za kuperfom sasa inafaa pia ukue umejipanga ndo ukue able kupay your bills even at times when haujapata gigs,,,Ni hustle gani unaeza venture into with little savings zenye uko nazo???😊
#form ni kujengana💪💪
0
0
0