
Mambo vipi meshers,, Episode 21 ya ShujaazStra ishatoklezea,,, Hesabu ya Makena haiingiani na bado hajalipa supplier wa fish. After kulenga simu zake, supplier anakataa kuleta order hadi Makena alipe deni. Jonte anachoresha Makena idea ya kukatiza middleman.
Kwingine, kimemramba Wanjohi after kuanza kupata symptoms za kaswende. After kukataa kutafuta usaidizi, Chebby anam-convince Wanjohi kutumia online services kwenye anabonga na professional.
Kidogo, kidogo, Mama Makena ame-land Jitibu straight outta mathare.Link ndo Io apo 👇 tuchangamkie
https://youtu.be/-h8jhqU4iF...



0
0
0