
Mambo vipi meshers,,, Hii maandamano inaaffect aje creatives na perfoming artists?? Ebu tuchapiane both positive na na negative impact za maandamano kwa wasanii,,Na pia what can we do as artists kuhelp in creating a rapport between the government and the oppositionš¤š¤#Peace
0
0
0