
Mambo vipi meshers,, Introducing Shujaaz STRA!
STRA ni stori ya life ya vijana wawili wana-try ku-make it, Achie na Mwas. Wame-team up kufungua biz after kukuwa frustrated na employment. Tuna-follow journey yao ya biz, challenges wanapitia na vile wanapambana ku-make it. Tunacheki vile mabeste na wasee wako around them wanawa-support, na wengine wanawarudisha nyuma.
Kwa hii mtaa pia kuna cuzo wa Achie, Teresia. Ametoka ocha kukuja kusaka life. Pedi wa mtaa anajiita Jonte. Makena ni dem mjanjez anaweza fanya anything ku-get doo. Ana-run kibandaski na goal yake ni ku-provide a better life for her kid sister. Chebby ako na M-Pesa na hakuna “Chai” inaweza mpita kwa hii mtaa.
SUBSCRIBE to Shujaaz u-get ku-watch new episodes za #ShujaazSTRA kila Sunday at 8PM: https://www.youtube.com/cha...
