Mambo vipi meshers, Kuna opportunity ingine noma sana imetoklezea kwa mayouth kutoka department ya trade,tourism and culture ,vijana tuinvest tujijenge,ebu tuchangamkie hii opportunity ni fiti sana