
Mambo vipi meshers,,Kwa wasanii kutoka pwani kuna opportunity fiti saana imejipa to be part of the commercial advert yenye itakua shootiwa Mombasa,,The perfoming artists within the region are encouraged kufika kesho for auditioning,,for more infor read the poster,,#Meshers ni kujengana💥💥🔥

0
0
0