
Mambo vipi meshers!🤗 Nairobi perfoming arts wako na audition on Wednesday,,Hii ni platform na opportunity ingine biggy sana kwa wasanii,,ebu tuchangamkie hii opportunity faster faster pale Kenya National Theatre,,For more information follow the prompts apo kwa poster,,,#Meshers ni kujengana💪💪

0
0
0