
Mambo vipi Meshers,,,Ni pre caution gani ama measures msanii anaeza take kuavoid a downfall kwa creative industry?
A.Be relevant. B. Have a proper financial management. C.Consistency na content yako kama msanii. D.By developing more skills and knowledge.
0
0
0