
Mambo vipi meshers!,Umeskia hii petition imewekwa kwa parliament ku ban tik tok,,Opinion yako ni gani?? Most of the perfoming artists wanatumia hii platform ya tiktok kujimarket na pia exposure,,Maoni yako ni gani kuhusiana na hii petition ya kuban tik tok??🤔💥

0
0
0