
Mambo vipi my guys,,Episode 10 ishatoklezea,, Makena anapitia pressure za ku-run biz solo huku Achie na Mwas wakitafuta njia za kuamsha biz yao. Jonte anajaribu kujisafishia rada kwa akina Achie na Mwas kwa kuwarudishia doh walipea makarao lakini bado hawadai fom. Trix ako serious story ya kujipeana na inamwendea vibaya excess! In case you missed it, catch up na episode 10 ya STRA through this link. https://www.youtube.com/wat...
0
0
0