
Mambo vipi wadau,, Episode 13 ya ShujaazSTRA ishatoklezea,Mwas anajipata kwa noma juu ya deni sa inabidi amedoz na mhesh,,Hii situation hukua tricky sana,,Ushawahi jipata kwa hii noma?Link ndo hii https://youtu.be/6HNINsNSgxQ Tufike youtube and let's watch this edutainmentš„š„#ShujaazSTRA
0
0
0