
Mambo wasee, mi hustle yangu ni kucreate content ya kitchen garden. Ukiwa na kitchen garden hapo home ama kwa rental, unaweza cut cost ya kubuy mboga, kitingu na nyanya. So nimecreate ka youtube channel. So nataka mu ni support bysubscribing na muwatch.
Link yangu ndio hii venye unaweza panda sukuma kwa rental house.
https://youtu.be/cs0QOf471aA
0
0
0