
Mambo wasee naitwa stivo , natoka Eastleigh na , ninafanya kazi ya ku skate , I can teach watoi bado na promote kazi za wasee wengi by kupeana flayers za kuusu kazi zao so Kama Kuna msee Ako na job na anadai ijulikane tunafanya iyo kazi anytime na the price ni 1k tu

0
0
0